Музаф.нет

Maua Sama - Zai

Maua Sama - Zai
  • Скачано: 446
  • Размер файла: 8.27 MB
  • Длительность: 3:37
  • Качество: 320 kbps
  • Дата релиза: 21 октябрь 2021
Скачать Maua Sama - Zai
Скачать песню Maua Sama - Zai mp3. Длительность: 3:37, размер: 8.27 мб, качество: 320 кбпс бесплатно или слушать музыку онлайн
Текст песни
So why unatembeza mboko
vitu unavyofanya usifanye in front of my eyes
Unaleta mkorogo why you de keep on telling me lies

Si halali kibudu we hubagui cheupe chekundu
Zai najua Ndio sababu
Kwenye penzi langu nipate Tabu

Zai mwache mume nakuomba
Zai kweli Mungu anakuona
Zai maji kinuni waponda
Wallah moyo unanisonona

Oya Duku limekwama
Hee nabado nampenda
Ooya mwache Zai kwanza hey
Au bado unampenda?

What do you want me to do?
Me I go die for you
Sema lolote I go do
Baby as long as I’m with you

Chorus
Zaiii zainabu wewe “ooh mume wangu me nampenda sana”
Zai Zai Zainabu wewe
(You de break my heart oh break my heart)

Zai Zainabu wewe (ooh Zainab wewee)
Zai Zai Zainabu wewe
(You de break my heart breaks my heart)

2nd Verse

Why why ohh why why why
You denying deny deny by ny
Oh, my amekupa nini Zai
Au penzi sikupi ukaridhika aaah

Ladha imekwisha sio tamu
Hata nkupe nikibinuka juu
Au Kidani chake dhahabu yeeah
Yeaah heyy
Unajua I can’t leave without you
Ubadilike I go wait for you
Nafasi nyingine say I do yeahhh heyy!!

Zai mwache mume nakuomba
Zai kweli Mungu anakuona
Zai maji kinuni waponda
Wallah moyo unanisonona

Oya Duku limekwama
Hee nabado nampenda
Ooya mwache Zai kwanza hey
Au bado unampenda?

What do you want me to do?
Me I go die for you
Sema lolote I go do
Baby as long as I’m with you

Chorus
Zaiii zainabu wewe (ooh mume wangu me nampenda sana )
Zai zai zainabu wewe
(You de break my heart oh break my heart)

Zai zainabu wewe (ooh zainab wewee)
Zai zai zainabu wewe
(You de break my heart breaks my heart)
Музаф.нет - Музыкальные новинки каждый день
Сотрудничество и правообладателям: [email protected]